Mnamo tarehe 12 mwezi Machi mwaka huu, Mwandishi Jon Yeomans wa gazeti la telegraph la nchini Uingereza alifanya mahojiano na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya ACACIA, Brad Gordon.
Pamoja na mambo mengine, Mtendaji Mkuu huyo wa ACACIA alisema kwa kukiri kuwa mikataba/makubaliano kuhusu uchimbaji wa madini pamoja na kuwa ya kisheria lakini hayakuwa ya usawa.
Hili kwanza la mikataba hiyo ya madini. kwamba ni mibovu haiko sawa Tanzania inaibiwa. kiujumla bara lote la Africa ndio hivyo hivyo. limezungumziwa sana hilo swala na hiyo compuni ya wacanada wanavyowakomba nchi masikini na kupeleka utajili kwenye nchi yao. Lakini ya yote ni ubovu wa Viongozi wazembe na wenye upungufu wa 1Q. ndivyo wanavyosema INTEGENT Qurity kwa wafrica ni ndogo. hao wanaojita Viongozi sidhani kama akili zao zinafanya kazi vizuri katika bara hili na Tanzania kiujumla
ReplyDelete