Kutokana na Madudu ya yaliyowekwa wazi na Taarifa ya Makontena ya Mchanga aliyokabithiwa Rais Leo hii, Rais Magufuli amemtaka Waziri Professor Dr. Sospeter Muhongo ajitasmini upya na amemtaki aachie ngazi
JPM Amenukuliwa akisema haya:
"...... ..
Ni rafiki yangu lakini katika hili,
Ajitathmini, Ningetaka ajiudhulu''-
JPM.
Weeee hapo juu sio ndio anazozianza, haya ndio anayodeal nayo Kila kukicha. Bila kuwa na Raisi kama Huyu, tutaendelea dhalaulika na kuitwa masikini, IQ ndogo. Wamelala usingizi. Wakiamka Kila kitu hamna uchumi wote kwishinei, lakini yote ni kwa sababu ya watu wachache wajinga wajinga, wakipewa vijihela kidogo vya hongo mifukoni mwao basi haaaaa, wamesharidhika, wanaendelea kuwatajilisha wazungu, mwisho wa siku wote tunadhalaulika, shwaini wakubwa, baba Magu chama kazi tu.
ReplyDelete