#BREAKINGNEWS Basi lililobeba wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent Lapata Ajali na Kuuwa


Basi aina ya Toyota Coaster lililobeba wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent ya Arusha limetumbukia bondeni Karatu.
Zaidi ya watoto 20 na waalimu wanahofiwa kufa.
Walikuwa wakienda tour kwenye hifadhi ya Ngorongoro.
Ni ajali kubwa na mbaya kuwahi kutokea tangu ya miaka 7 iliyopita.
Pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza watu wao katika ajali hii mbaya, Mungu azilaze roho za marehemu peponi
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ooohhhh.... very SAD news, Mungu aziweke mahali pema roho za marehemu wote Na kuwaponya wanafunzi na waalimu wote walionusurika. AMEN

    ReplyDelete
  2. Enter your comment...rest in peace

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad