Busara za Steven Job (Mmiliki wa kampuni ya Apple Inc)..!!!


Y.O.L.O-Steven Paul Jobs alikuwa mwanzilishi wa kampuni ya Apple Inc. ,alizaliwa mnamo February 24, 1955 na amefariki akiwa na utajiri wa $19 billion ,na alitangulia mbele ya haki October 5, 2011 akiwa na umri wa miaka 56.

Siku moja akiwa ofisini kwake ,Steven Paul Jobs alimuulizia director of quality wa kampuni ya Apple, aliyekuwa anaitwa Ron Givens ambaye walikuwa wanakaribiana ofisi kuwa, ''Secretary wangu yupo wapi mbona simuoni mpaka sasa ofisini''.?

Baadaye secretary kuja ofisni ,Ron Givens alimueleza secretary kuwa ,bosi ambaye ni , Steven Paul Jobs anakuulizia kwa nini umechelewa kuja kazini ? Secretary alimfuata na kumuelezea Steven Paul Jobs ,kuwa gari yake ilipata matatizo na ndio maana alichelewa kuja ofisini.

Ilipofika mida ya mchana ,Steven Paul Jobs alirudi ofisini na funguo ya gari aina ya Jaguar mpya na kumpa secretary wake na kumuambia '' "Here, don't be late anymore." 

Darasa:Unyoofu wako utawapa watu fursa ya kuiga na usipokuwepo watu watasikitika kukukosa,maana matunda ya kazi njema ni utukufu.Duniani tunapita ila utu na upendo hudumu milele.

Steven Paul Jobs, ametangulia mbele ya haki na kuziacha pesa kiasi cha $19 billion ,ila mimi na secretary wake tunamkumbuka kwa wema wake na moyo wake wa kutoa bila kutangazia watu .We make a living by what we get, we make a life by what we give.#Giving

Ramadan Kareem !! Ramadan Kareem
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad