Chen Bees amedai kuwa tofauti kwa sababu anafanya kazi kubwa ukilinganisha kipindi cha nyuma ambapo alikuwa anafanya kazi nyingi za watu huku akiushukuru uongozi wa sasa kwa kutoa ushirikiano unaomfanya aendelee kufanikiwa.
Mbali na hayo Chin Bees amezungumzia mahusiano yaliyopo baina yake na Navy Kenzo:
“Kamatia chini mimi ndio niliandika. Verse ya kwanza mimi ndio nilishiriki mpaka ule wimbo kufikia pale lakini watu wanafanikiwa kwa kutumia ubunifu wako kitu ambacho siyo kizuri. Zipo nyingi kama Never ever na Game zote zile nilihusika.” – Chin Bees.
Itazame full video hapa chini kwa kuponyeza Play:
Nafikiri wote ni mashahidi kwamba mtukufu rais ni mtu asiyependa ushauri, wala ushirika na mtu. Ndo mana alisema ktk serikali yake hakuna mpinzani kutia mguu na anaonekana kutotaka kumsikiliza yeyote kwa kauli na matendo pia. Lisu ameomba kukutana na rais kama kiongozi wa tls, mpaka leo hakuna majibu. Nyote mnakumbuka aliposema, mkimchagua mwanasiasa ktk uongoziwenu itakuwa shida sana kufanya kazi na nyie. Naomba mwandishi wa wazo hili jema utupe na ushauri wa namna Lisu anavyoweza kushiriki ktk hili manake mi naona kwa mazingira ya sasa msaada pekee anaoweza kutoa Lisu ni kuimba nyimbo za kumsifu mtukufu rais na si uwezo alonao kama mwanasheria kwa manufaa ya taifa
ReplyDeletePia kwa akiliyangu ndogo, sinaona mahali lisu amesema acasia si wezi. Lakini yeye amesema athari za kisheria tunakokwenda kwani tumejifunga kwa kila kamba na tumejinasisha katika kila mtego, halafu tunakurupuka na maamuzi. Ametoa na njia ya kujiondoa katika kongwa hili na mifano ya viongozi walowahi kufanikiwa katika hili. Sasa je tunataka afanyeje kwa aina hii ya uongozi uliopo ambao baba kapewa maono ya kuinyoosha nchi na amesema tumuache na tena tukaage kimya?
ReplyDeleteNafikiri wote ni mashahidi kwamba mtukufu rais ni mtu asiyependa ushauri, wala ushirika na mtu. Ndo mana alisema ktk serikali yake hakuna mpinzani kutia mguu na anaonekana kutotaka kumsikiliza yeyote kwa kauli na matendo pia. Lisu ameomba kukutana na rais kama kiongozi wa tls, mpaka leo hakuna majibu. Nyote mnakumbuka aliposema, mkimchagua mwanasiasa ktk uongoziwenu itakuwa shida sana kufanya kazi na nyie. Naomba mwandishi wa wazo hili jema utupe na ushauri wa namna Lisu anavyoweza kushiriki ktk hili manake mi naona kwa mazingira ya sasa msaada pekee anaoweza kutoa Lisu ni kuimba nyimbo za kumsifu mtukufu rais na si uwezo alonao kama mwanasheria kwa manufaa ya taifa
ReplyDelete