EXCLUSIVE: Nape Nnauye Kawajibu Wanaohoji Kwa Nini Anaikosoa Serikali

Mbunge wa Mtama ambaye pia alishawahi kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye alikubali kukaa kwenye exclusive interview na Ayo TV na millardayo.com kuzijibu na kuzitolea ufafanuzi tuhuma za kuikosoa serikali baada ya kuondolewa kwenye nafasi ya Uwaziri.

Hapa nimekuwekea FULL INTERVIEW waweza itazama…

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad