HIVI Kumbe Kweli Clouds FM Ndo Kila Kitu Kwa Wanamuziki...Yupo Wapi Ruby wa Yule?

Mambo zenu wadau.
Ningependa kujua yule mwanadada machachari kabisa aliyetamba na kibao chake cha "Na yule"amepotelea wapi maana naona hasikiki kabisa siku hizi toka alivyotangaza kutoka mikononi mwa Clouds Media,ni kwamba amebuma kabisa kutokana na ukosefu wa promo au bado anajipanga kuja kumshinda Nandy!

Hilo linanifanya nianze kuamini kuwa Clouds Media ndio kila kitu kwa Wanamuziki hapa Bongo ukiwa diss umejichimbia kaburi lako mwenyewe...Au Unaonaje Mdau?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad