Ivan Don Azikwa na Mamilion ya Pesa Kaburini Kwake....Picha


KUTOKA KWENYE MAZISHI UGANDA...... pesa zaidi ya 30 mil zamwagwa ndani ya kaburi la Ivan Don... Kabla ya maiti kuwekwa....!! Ni balaaaaa..... RIP IVAN DON ila ingekuwa hapa bongo ingebidi hlo kaburi lilindwe hata miez mitatu mpaka hzo pesa ziharibike kwa joto maana la sivyo watu wangemfukuaje!..yaan asubh mwil ungekutwa pembeni..pesa ilivyongumu jamani

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad