Kujiuzulu Kwa Manji je Vita ya Makonda Dhidi ya Wauza Madawa inafanikiwa?


Manji ni mmoja wa waliotajwa na Makonda katika sakata la watuhumiwa wa madawa ya kulevya.

Mara baada ya kutajwa Manji alianzisha mtafaruku mkubwa ikiwa ni pamoja na kwenda na wafuasi kadhaa wa yanga kituo cha polisi,pia alionekana kwenda kifahari sana pale kituo cha polisi...lakini baadaye hatukumsikia akitamba kabisa hadi sasa tunasikia akiiachia Yanga ambayo pengine labda ilikuwa ni maficho yake

Je katika hili tumpongeze makonda kwa ushindi wa awali dhidi ya wauza madawa ya kulevya?
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mimi namuonea huruma Manji kujiuzulu uongozi Yanga bila ya kurudisha zile 5-0!

    ReplyDelete
  2. uliyeandika haya, andika ulichokusudia, ikiwezekana kuepuka njaa rudi darasani.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad