TAARIFA KVVA VYOMBO VYA HABARI
Ikulu, Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa viongozi wafuatao;
1. Ndg. Saidi Meck Sadiki - Aliyekuwa Nlimu Wa Mkoa wa Kilimanjaro.
2. Ndg. Aloysius Kibuuka Mujulizi - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Shelia Tanzania.
3. Ndg. Upendo Hillary Msuya - Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.
Taarifa iliyotolewa leo tarehe 16 Mei, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi inaeleza kuwa Mhe. Rais Magufuli ameridhia maombi ya kuacha kazi kwa viongozi hao kuanzia tarehe 15 Mei, 2017.
Mikurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,
IKULU Dar es Salaam 16 Mei, 2017
Duuh
ReplyDeleteNi katika kuunga mkono tamko la serkali kwamba wasio waadilifu katika serikali Awamu ya tano wapishe wengine wenye Uchungu na nchi....wafanye kazi.Kwa nini mkuu ya mkoa msitaafu alitolewa Dar na baada ya yeye harakati kamata kamata zikaaza? Kuna jambo alina muhusu.

ReplyDelete