LEMUTUZ Amchana Live Mchungaji Msigwa Kwa Kuingiza Siasa Kwenye Msiba wa Watoto Arusha


By @lemutuz_nation
Mchungaji Msigwa, ustaarabu ni kuwafariji wafiwa kwanza na kusubiri kuwazika marehemu yaani Wanafunzi watoto wadogo 32 waliofariki jana ...halafu ndio huko Chadema muanze kuingiza siasa zenu kuhusu Msiba ..ila kwa sasa wakati kuna Mama aliyepoteza Mume hivi karibuni na jana akapoteza Watoto 3 kwenye hii Ajali ya Taifa kwako wewe Mchungaji wa Kiroho kuandika maneno ya Kejeli kwa Rais na wafiwa ni UKOSEFU WA UTU NA HESHIMA KWA MAREHEMU NA WAFIWA ....Rais hata akimuandikia Mungu at this point and time haiwezi kuwarudisha Marehemu kuwa hai au kuwamalizia uchungu wafiwa ...kutafuta sifa za kisiasa kwa kutumia miili ya marehemu watoto wadogo Malaika wa Mungu ni Dhambi kwa Mchungaji kama wewe ....tunawasoma na kuwashangaa sana baadhi yenu huko Chadema kwa kauli za ajabu ajabu wakati huu wa msiba mzito kwa Taifa ...HEBU MUOGOPENI MUNGU KIDOGO .....KWENYE MSIBA MZITO KAMA HUU SIASA ZINATAKIWA KUFIKA MWISHO...tunatakiwa kunawaombea kwa Mungu awape wepesi wafiwa wote na Taifa zima katika kipindi hiki kigumu sana cha kukubali msiba huu mzito sana kwa Taifa ....hakuna mbaye hatakufa ila sidhani kama wewe ungependa ukifa mwanasiasa atumie kifo chako kutafuta sifa......again tunaomba Mungu afanye wepesi ili kesho Makamu wa Rais Mama Samia aongoze vyema mazishi ya Watoto wetu 32 waliopoteza maisha yao kwenye ajali mbaya Arusha jana ....MUNGU IBARIKI TANZANIA! - le Mutuz...
.
.
TOA MAONI YAKO HAPA
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu mwenye tumbo kama pipa la takataka atulie asijifanye anajua kujibu. mbona kamuweka Kinana kwenye blog yake. ndo maana habadilishi bukta.

    ReplyDelete
  2. Lemutuz hana family anaishi mwenyewe kama jini. kutwa kujipiga picha na wanawake wa watu na kujisifia kifua chake ila hasemi kibamia chake. zee zima unafiki mpaka tumboni

    ReplyDelete
  3. Chadema kwa sasa hawana jipya, unadhani watafanya au kusema nini zaidi ya 'kuropoka-ropoka-hovyo', nadhani umemsikia Lema huko bungeni, badala ya kuchangia bajeti anasema mengine ambayo hayapo eti Kinana ametekwa!!! Umemsikia na yule 'jike-dume-wao Mdee aka MITUSI-MITUSI, na yule 'macho-kumchuzi wao Mbowe, huku nako Lisu anang'ang'aniza kujitambulisha kwa JPM, yaani hawajui washike lipi waache lipi hahahahah NA BADO, watachanganyikiwa sana tu, huyo ndio JPM aka TINGA-TINGA, mwendo-kasi, HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  4. Le tumbos anajipendekeza CCM. anafikri watampa cheo.

    ReplyDelete
  5. tumbo kubwa akili ya sisimizi.

    ReplyDelete
  6. anawashwa huyoo. ndo maana habidilishi kaptula lake wiki nzima.

    ReplyDelete
  7. Kama wanafika mahali Pa kuingiza siasa kwenye matukio ya majozi kama haya, Afu eti ni mchungaji 'that's shame'
    Afu hawahawa wanaomba ridhaa ya kuongeza nchi, nasema WASAHAU
    Nchi haiwezekani iongozwe na genge la hawa wahuni

    Magufuli piga kazi
    Tunakuombea
    Watanzania wenye nia njema na nchi hii tupo nyuma yako
    Hawa wahuni wasikuyumbishe

    Mungu bariki Tanzania
    Mungu bariki viongozi wetu
    AMEN

    ReplyDelete
  8. Left Mutuz.. well said. Sasa siyo Natuma misiba. Huwa wamepoteza mwelekeo.. sasa sasa na hawazijui. Wa na jaribu kwa nia zisizo muafaka. Mungu awalaze Peña marehemu Ameen

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad