LIPUMBA Amsifu Jecha Kufuta Matokeo Zanzibar..!!!


Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,  amesema ni afadhali  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar  kuliko Maalim Seif aliyejitangazia matokeo.

 Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa  kujitangazia matokeo.

Lipumba anaendelea na mahojiano ya moja kwa moja yanayorushwa na televisheni ya Clouds.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu Lipumba alisemalo alijuwa kweli mwenye mapenzi na CUF anaweza kumuunga mkono Jecha kukinyanganya chama ushindi uliokubaliwa na wachunguzi wote? Namhisi hayupo sawa hata kidogo huyu jamaa msomi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad