MASIKINI..Hivi Ndivyo Dogo Mfaume Alivyopigania Uhai Wake ..Rafiki Yake Agunguka A - Z Siku Chache Kabla Hajafariki Ilivyokuwa..!!!


Kibabu Fleva rafiki wa karibu wa marehemu Dogo Mfaume amefunguka na kusema msanii huyo alipooza upande mmoja na katika hatua za mwisho alikuwa amepoteza kabisa kumbukumbu.

Kibabu Fleva anadai Dogo Mfaume alikuwa afanyiwe upasuaji wa kichwa lakini kabla ya hatua kufanyika akapoteza maisha. Mazishi ya Dogo Mfaume yanatarajia kufanyika leo Ijumaa maeneo ya Gongolamboto.  

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad