MBUNGE Kingu Awafungukia Wanaodai Anatoka Kimapenzi na Mwanamuziki Vanessa Mdee


Unakumbuka story ya Vanessa Mdee Kutoka na Mbunge????...


Mbunge Afunguka haya:

"Hekima na utulivu wako vinadhihirisha kuwa umekomaa.walimwengu sio wazuri hukumu yao ni batili lakini siwezi kuacha kujali kuwa ur my close friend na una nidhamu na heshima acha wahukumu wajuavyo ila ninakupenda kama mtu wa karibu na rafiki wa kuamimi. ."
.
.
TOA MAONI YAKO HAPA -

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad