Mwanamke Wangu Hataki Nione Nyeti zake

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza , Mimi sijaoa  ila nina mpenzi sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana, tukiwa faragha mimi huwa sio mtu wa kujifichaficha huwa najiachia tu kama nilivozaliwa siogopi wala kuona aibu maana tunakuwa wawili tu , ila yeye sijawahi kumuona uchi wake kiukweli, kwanza hapendi tuonane mchana na usiku anataka nizime taa nashindwa kuelewa sababu ni nini?

Akilala kwangu asubuhi anavaa chupi akiwa kajifunika shuka, kifupi anajiziba ili nisione nyeti zake jambo hilo linanipa mawazo sana.

JE sababu ni nini?
Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi na huwa tunado karibia mala mbili kwa wiki anakuja jumamosi home na anakuja na jumatano,   hivyo kama ni kunizoea basi kanizoea sana na viutani vya kutosha vipo sana ila suala la kuona uchi hapo kwake ni pagumu, sasa ningetaka kujua hivi inaweza ikasababishwa na nini hiyo kitu ?

Ushauri Tafadhali
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha ushamba wewee piga kitu mtoto bado bikra huyooo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unatakiwa upate training ya mapenzi, make wote hamjiewi.
      Mapenzi sio vita.

      Delete
  2. Tatizo nyie wote ni washamba wa mapenzi ila mwanaume zaidi utajikuta unatobolewa mtoto bado unamwangalia tu kwanza huyo mtoto kabila gani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad