MWANDISHI wa Habari wa Mwl Nyerere Afariki Dunia ..!!!


Aliyekuwa Mwandishi wa habari wa Baba wa Taifa,  Mwalimu Julius Nyerere,  Paul Sozigwa amefariki saa 8:30 usiku wa kuamkia jana.

Msemaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Anna Nkinda amesema kuwa Sozigwa alikuwa anaendelea vizuri lakini akafariki wakati akiendelea na matibabu hayo.

Amesema alikuwa akiendelea na matibabu wodi  namba mbili baada ya kutolewa kwenye wodi ya uangalizi maalumu.

"Ni kweli amefariki usiku wa kuamkia jana wodi namba mbili hapa JKCI." amesema Nkinda.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad