NIMEAMINI Binadamu ni Mnafiki na Anapenda Vita..Ukweli Mchungu Kuhusu Nia Njema ya Donald Trump


By Barbarosa

D.Trump anawasiliana na kushirikiana na Urusi anatukanwa mpaka wanaanza mpango wa kumshitaki, ikumbukwe kwamba Vita ikiibuka kati ya Urusi na Ulaya hakuna atakayepona, na cha ajabu zaidi Waafrika hawampendi Trump ingawaje ndiyo Raisi pekee wa USA ambaye ana sera rafiki kwa Afrika, Black Americans hawampendi Trump ingawaje ndiyo Raisi pekee anayewapigania!

Trump amesema
lets make peace" lkn Binadamu wanataka avamie Syria, Korea, Irani n.k.!

Trump anapigania Makampuni ya USA kujenga Viwanda USA na mnufaika mkubwa ni Black America kwani wao ndiyo wanaotegemea kazi za viwandani kwa kuwa wengi wao hawana University degrees, Trump anataka kuondoa violence ghetto America ambapo muathirika mkubwa ni Black Amerika, lkn bado hawaelewi, ...



[​IMG]

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ADUI MKUBWA WA AMERIKA ANAKARIBIA KUJULIKANA.WAAMERIKA NI WATU WEMA BALI WANAADUI AMBAO WENYEWE HAWAMTAMBUI.ANAHARIBU KWA KUPITIA JINA LA AMERIKA.KARIBUNI ATAJULIKANA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad