NYOTA ya Mbwana Samatta Yazidi Kuwaka..Shabiki Ingia Uwanjani na Bango la Kuomba Jezi yake


Ukisema mambo yanaanza kunyooka, baada ya mashabiki wengi wa KRC Genk kuonyesha imani kubwa kwa mshambulizi, Mbwana Samatta.
Samatta anaonekana kuwa bora zaidi kutokana na kuwa tegemeo katika kikosi cha Genk cha Ubelgiji.
Imeonekana mmoja wa shabiki akiwa na bango uwanjani, akiomba jezi ya Samatta..!!!
Tupia neno lolote kwa Samatta kama ishara ya kumtakia kila la kheri katika soka...!!!
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad