PICHA:Pacha wa Lionel Messi Aonekana "Tehran" Iran..!!!!


Reza parastesh raia wa Iran anayepatikana Tehran amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya picha na muonekano wake kufanana na mwanasoka anayechezea timu ya Barcelona na Albacete Lionel Messi.

Je amefanana kweli na Messi au porojo tu

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad