Polepole: Rais Magufuli Alitaka Kuhongwa Bilioni 300 Ili Asifanyie Kazi Taarifa ya Mchanga wa Madini..!!!


Humphrey Polepole kasema kuwa Magufuli alitaka kuhongwa Billioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga wa madini .

Polepole ambaye ni Katibu wa Uenezi wa CCM,amesema hayo kwa uchungu akitoa msimamo wa chama juu ya uchunguzi uliofanyika
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad