RAIS Magufuli Atatua Kero ya Kivuko cha Furahisha Mwanza, Daraja Mbioni Kufunguliwa...!!!


Rais Magufuli aliahidi na anetekeleza. Anaendelea kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.

Jiji la Mwanza kwa sasa linazidi kunawiri na kupata mwonekano mpya kutokana na ujenzi wa Daraja la Furahisha kufikia katika hatua nzuri. Daraja hilo kwa juu wanapita watembea kwa miguu na chini vyombo vya usafiri. Kwa waliopita kwenye Daraja la Manzese wanapata picha ila hili la Furahisha ni la kipekee kutokana na jinsi lilivyonakishiwa.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad