Rais Magufuli Avunja Bodi ya TMAA, Upotevu wa Madini Wafanyakazi Kikaangoni


IKULU: Rais Magufuli amepokea Ripoti ya Kamati ya uchunguzi wa Mchanga wa Madini. Imebaini upotevu wa Shilingi Bilioni 676 hadi trilioni 1.

Kamati Maalumu iliyoundwa imetoa jumla ya mapendekezo tisa ambayo yote yamekubaliwa na Rais.

Wakati akihutubia Rais Magufuli asema anampenda Waziri wa Nishati na Madini, Prof Muhongo amtaka ajitafakari na bila ya kuchelewa alitaka aachie madaraka.
.

Aidha Rais pia ameivunja Bodi ya TMAA na avitaka vyombo vya Dola kuwafuatilia wafanyakazi wote wa TMAA kwa upotevu wa madini.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawa jamaa wa TMAA wametajirika kishenzi, wana mijengo ya hatari!
    Wakibainika ni mali za wizi, WAFILISIWE!

    ReplyDelete
  2. Hongera Raisi wetu pamoja na kamati ya uchunguzi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad