RAMA Dee: 'Lowasa Anapaswa Apumzike Awaachie Watu Wafanye Kazi'

Msanii wa rnb Rama Dee wakati akihojiwa kwenye kikaangoni eatv, ametoa ushauri kwa Lowassa juu ya uhusikaji wake kwenye siasa,

"Lowasa anapaswa apumzike awaachie watu wafanye Nazi, kwa kawaida wazee wetu wakifika miaka 55 au 60 ni umri wa kupumzika"

Je Mdau Wangu wewe Unaonaje..Apumzika au Bado?
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lowasa sio mzee bali ni afya-mgogoro, hivyo apumzike kwa sababu ya ugonjwa na sio uzee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad