Katika page yake ya instagram RC Gambo amewashukuru wanaarusha kwa kujitokeza kwa wingi kuwaaga watoto wetu na pia amekanusha uzushi unaoenezwa na Lema
RC Gambo Amjibu Lema kwa Nini Hakumpa Nafasi ya Kuongea Jana Kwenye Shughuli ya Kuaga Wanafunzi Waliofariki Arusha..!!!
7
May 09, 2017
Tags
Gambo nibkijana tu. Expetience huna. Achavitikadi tumikia wananchi. Ni mwanadieasa pis. Arrogance hsilipi. Weka moyo badala ya majigambo kwenye uchungu. Achs sisa. Taifa kwanza. Msiligawawe taifa kwa kukosa hekima. Sorry
ReplyDeleteSikubaliani nawe na tumechoka na siasa chafu. Haiinui Taifa. ni wajinga tu na wasio na elimu ambao ni wengi mtawanunua. Ukweli mchungu wengi sasa wanaelimu za juu. Wanaelewa.
Ifike pahali watu tuache unazi watu wa Arusha wana viongozi wengi sasa muelewe kwanza pale sio kwenye mkutano wa siasa. Maana kama aliweza kupewa boss wake lema kuwawakilisha vyama vya upinzani yeye lema analalamika nn wakati na yeye yupo upande huo pia. Sasa kwa style hiyo angepewa lema na meya Angela lamina na angepewa meya na madiwani wengine wangelalama pia mkumbuke kuna wenyeviti wa mitaa ambapo marehemu wanatoka nao wangesema hawajapewa nafasi sasa mkumbuke tu jambo lililokuwa likiendelea uwanjani jana msiliwekee siasa. Pia tufahamu hapa duniani huwezi kuridhisha watu wote cuz wakati unaridhisha baadhi ujue kuna baadhi wanaudhika dunia ni mapito tu tuangalie ya msingi na yenye maana ili tusonge mbele.
ReplyDeleteNdio hakupewa nafasi na asitegemee kupewa nafasi popote pale kama Gambo atakuwepo, hebu asijisahaulishe ile mineno yake michafu alokuwa akimtolea Gambo kipindi kile. Alale-mbele, asimshobokee Gambo...hovyooooo...mfyuuuu
ReplyDeleteWote mnao mshabikia Gambo na siasa za Ubabe , amekosa hekina na anatumiwa na wasaka Ugali pia msisahau Arusha siyo yake ni ya wana Arusha wenyewe, Unazi wa CCM na CHADEMA unaipoteza Arusha kwenye ramani ya ustawi, Ninyi nyote mnaoshabikia Ugomvi wa Gambo na Lema Mmekosa maarifa
ReplyDeleteIlibidi Lema awe ndio wa kwanza lakini la ajabu ni kuwa wapinzani wanaonekana maadui. Kuondosha fitina hiyo kwanini isitolewe amri kuwa nchi inarejea siasa ta chama kimoja. Faneni hayo kwasababu nguvumnazo
ReplyDeleteEnter your comment...mungu saidia tanzania
ReplyDeleteEnter your comment...Umaarufu mwingine mbele giza mtu unang'ang'ania kuongea kwenye msiba ili tu ujulikane upo so alitaka aseme peoples msibani , huu sio mda wa siasa ni mda wa kulijenga taifa letu
ReplyDelete