Shamsa Ford Awajibu Wanaodai Amemfilisi Mumewe Chid Mapenzi Baada ya Kuolewa


By @shamsaford

Nikiwa kama binadamu ni vibaya kuishi na kinyongo kwasababu natembea na umauti na sijui ni lini Mungu atanichukua. kiukweli mmenisononesha sana binadamu..ila kubwa kuliko vyote nimegundua kwamba watu wengi hawaitakii ndoa yangu mema. Nilipoanzana uhusiano na mume wangu wakasema tutachezeana na kuachana.Tulipooana wakasema hatutofikisha mwezi tutaachana, mitihani mingi iliyotutokea binadamu hawahawa walikuwa wanacheka.. Leo hii mnatusimanga na hayo mambo mnayopost..Nyie Binadamu mnataka nini jamani..Ni wa kwangu Mimi hata aweje ni wa kwangu mimi.Mnalotaka litutokee inshaallah kwa kudra za Mwenyezi Mungu halitatokea. Pale mnapowaza mabaya yatutokee kwenye maisha yetu na Mungu naye anapanga kutuepusha na hayo mabalaa....

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safii sana ,hawapendi kukuona umekaa kwenye ndoa.lakini wewe unaakili tangu mwanzo ulisema unarudi kwa MOLA Wako.poa dada onyesha mfano kwa wengine.kufa hakuna hodi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad