SHILOLE - JLo Alinizingua Kolabo, Ila Nitamtafuta Nick Minaj..!!!


Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole ametoa ufafanuzi wa kushindikana kufanya kolabo yake na Jennifer Lopez(JLo) ambayo msanii huyo alitangaza kufanya nae.

Shilole amesema kuwa alisha onana na meneja wa msanii huyo kutokea Marekani na kuongea nae kuhusu mpango wake wa kufanya kolabao, lakini baadae ilishindikana hivyo naye ameshindwa kwenda tena Marekani kutokana na kuwa busy.

“Nilishindwa kurudi tena Marekani kutokana na mambo niliokuwa nayo ikiwemo ya kifamilia na pia Jlo nae alikwa busy busy na nyimbo yake ya “Ain’t your mama” nikaona basi tusisumbuane sana mwache aendelee na mambo yake, ila nitamfuta Nick Minaj.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Washikaji mmeishiwa na news nini?Huyo Shilole na JLO wapi na wapi?Muwe mnaaangalia habari za kuandika mitandaoni jamani au ili mradi mjaze nafasi nini mitandaoni mnaboa kweli kweli

    ReplyDelete
  2. Pengene kweli alikutana na mzungu Pori akamwambia mie ni Manager wa Jlo, na yeye akaamini akatoa nyama kidogo kisha mzungu Pori baada ya kupata nyama ya bure akaingia mitini!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad