Ajenda zote zilizotolewa na chama cha siasa BUNGENI na zikashindikana: sasa TLS imezibeba kwa nguvu zote na kwa gharama ya hali ya juu na kuweka mikakati ya kuzidai kupitia MAHAKAMA. Ni copy and paste.
TLS ikumbuke ya kwamba Code of Ethics zao zinawataka wawe "impartial" muda wote(TLS Code of conduct and Ettiquette rules). Kwa msingi huo TLS imeiacha barabara kuu na kuingia kwenye mchepuko.
Such misconduct should not be left to prevail. Ni busara ya wakati kuwa TLS ifutwe kisheria na bunge, kwasababu TLS Act inapingana kabisa na nia,makusudio,matamanio, matendo na mikakati ya TLS sasa. I have very serious doubt on the unfolding strategies of the current TLS leadership.
By Moma2k/JF
Unakubaliana na Mdau hapo Juu au Unampinga?
kwakua aliyewekwa pasina shaka si muoga lazima mtaseme hivyo kwa lisu hakuna ndyo mzee bali sheria inafuata mkondo Wake
ReplyDelete