TUMEKWISHA..! Waziri wa Viwanda, Charles Mwijage Asema Ukiwa na Vyerehani Vinne Hicho ni Kiwanda..!!!


Waziri wa viwanda na  biashara Mhe Charles Mwijage Amesema Kuwa dhana ya viwanda ni pamoja na mtu mwenye kuwa na uwezo wa kumiliki hata cherehani nne na akajisajili basi huyo atafahamika kuwa anamiliki kiwanda.

Je wewe unamtazamo gani juu ya hili...!!!?

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad