UKWELI Mchungu..Wadada Mliozaliwa 80's na Hujaolewa Huu Sio Muda wa Kuchagua Tena..!!!


Kama kichwa kinavyojieleza wadada mliozaliwa 80's kama bado hujaolewa huu tena sio muda wa kuchagua wa kukuoa.

Kama ni mechi wanasema fungulia mbwa...yani sagula sagula..ngoma nagwaaa..jua lishakuchwaa...we olewa tu mengine yatajulikana mbele ya safari. Sasa we jitie yes no nyingi.. Utazeeka na kujipaka miwanja ya usoni kwa staili ya "mwenzenu sina mume".

Kwa wasiojua staili ya wanja ya "mwenzenu sina mume "ni ile staili ya wadada kunyoa nyusi zoote halafu unapaka wanja juu kidogo ya mstari wa nyusi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad