UNABISHA na Hili Pia..Kwa Tanzania Mtu Mwenye Digrii ni Mzigo Kuliko Anaejua Kusoma na Kuandika Tu...!!!


Wanaojua kusoma na kuandika tu wako mstari wa mbele kupambana na maisha
Wa degree anasugua benchi na miguvu Tele akisubiri ajira imuangukie

Anaejua kusoma na kuandika tu, anaweza kujiendeleza na kuwa na maarifa kila sekta
Wa degree mjivuni akidhani anajua kila kitu

Anaejua kusoma na kuandika tu sio muoga wa maisha na kujaribu
Wadegree ni muoga kuliko mfano...

Wanaojua kusoma na kuandika tu ni wasikivu na sio walalamishi
Wabishi na wanaoongoza kwa malalamiko ni watu wa degree

Kwa tanzania mtu mwenye degree ni mzigo kuliko anaejua kusoma

Taadhari : in every general formula there are exceptional cases
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad