UTOTO Wamtesa Tunda Kimapenzi..Afunguka ya Moyoni Jinsi Anvyotamani Kulala na Staa wa Nigeria Wizkid..!!!


UTOTO unaonekana kumtesa muuza sura kwenye video za wasanii wa Kibongo, Tunda Sebastian ambaye licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mtu mwingine, ameibuka na kudai anampenda ‘kufa mtu‘ msanii wa Nigeria, Wizkid.

Akizun-gumza na Risasi Vibes, mwanadada huyo alisema kuwa amekuwa akimzimia jamaa huyo kwa muda mrefu na ndoto zake ni siku moja kuwa naye kwenye uhusiano wa kimapenzi.

“Msema kweli mpenzi wa Mungu. Kiukweli ninampenda Wizkid. Ni bora niweke wazi maana hata nisiposema nitabaki naumia tu moyoni,” alisema Tunda.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad