VIDEO: Hivi Ndivyo ilivyokuwa Kwenye Harusi ya Flora Kusekwa (Frola Mbasha), jijini Mwanza
2Udaku SpecialMay 01, 2017
Hatimaye staa wa muziki wa Injili Tanzania Florance Henry 'Madam Flora' amefunga ndoa na Daudi Kusekwa baada ya kukaa muda mrefu wa upweke kutokana na kutengana na aliyekuwa mumewe Emmanuel Mbasha.
kama habari hii si ya udaku na uchochezi basi huyu dada aache kuinjilisha mara moja, na kama hajui kazi na maana ya Injili aulize kwa viongozi na walimu wa koroho kwani kwa yeye kufana haya anayoyafanya kwa sasa ni kumi=uaibisha KRISTO YESU na ni wazi kuwa sasa amechoka kumtangaza KRISTo. narudia kama si udaku kwa maaana ya udaku. wako wapi marafikize wanaompenda, yuko wapi baba yake wa kiroho Askofu Josephati Gwajima/ nina Imani kama si Udaku basi Askofu hatafurahishwa na jambo hili. "Alilounganisha MUNGU mwanadamu asilitenganishe"

kama habari hii si ya udaku na uchochezi basi huyu dada aache kuinjilisha mara moja, na kama hajui kazi na maana ya Injili aulize kwa viongozi na walimu wa koroho kwani kwa yeye kufana haya anayoyafanya kwa sasa ni kumi=uaibisha KRISTO YESU na ni wazi kuwa sasa amechoka kumtangaza KRISTo.
ReplyDeletenarudia kama si udaku kwa maaana ya udaku.
wako wapi marafikize wanaompenda, yuko wapi baba yake wa kiroho Askofu Josephati Gwajima/ nina Imani kama si Udaku basi Askofu hatafurahishwa na jambo hili.
"Alilounganisha MUNGU mwanadamu asilitenganishe"