Wamiliki wa Mgodi wa Acacia Wadai Hawajashirikishwa Katika Ripoti Aliyokabidhiwa JPM..!!!


Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Acacia imetoa taarifa kwa umma na kueleza kuwa kamati iliyofanya uchunguzi kuhusu mchanga wa madini  haijawapa ripoti ambayo Rais John Magufuli amekabidhiwa jana.

Katika taarifa hiyo, Acacia wamesema hawajui ni kwa kiasi gani ripoti hiyo itakuwa imeizungumzia kampuni hiyo lakini waliipa ushirikiano kamati hiyo wakati ikifanya uchunguzi.

Hata hivyo Acacia wamesisitiza kuwa huwa inatoa taarifa kamili ya kila kitu chenye thamani ya kifedha ambacho wanazalisha na huwa wanalipa kodi zote stahiki kwa kila madini yanayotakiwa kulipiwa.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tena hii Company ya kicanada ni wabaya sana hawa watu ni makabaila wasiojali binadam wenzao wao ni kutajilika tu wao na nchi yao huko Canada. You Company ilishawahi haribu Mazingira sehemu nyingi tu. huko Pacific ealiwakomba na kuwachia mazingila mabaya. Hata Tanzania yenyewe wenyeji wa hapo wanapo chimns hiyo dhahanu wametanika sanaaa. Sisi wafrica tusipo angalia tutaendelea kuwekwa kundi lå mwisho la watu wasionakili mpka vizazi na vizazi. tusipoamka na wakati ndio huu. hawa hawakuja kwa manufaa ya Tanzania au wafrica kiujumla. wapo kwa manufaa yao na nchi yao. kama hamuelewi hilo. ndio maana kutakuwa mæ kila sina ya ujanja ujanja tu kila kukuchaa. si wajinga wanaowazunguka ni wengi. Na tudhukuru Raisi wetu ni muelevu na kwenye maadiri na mapenzi mema kwa nchi yake.

    ReplyDelete
  2. Kweli mkubwa ila sasa hapo kwenye matamshi na mwandiko ni shida tupu

    ReplyDelete
  3. Hawa jamaa wamebadili majina ya kampuni mara kama mbili hivi na yote haya ni kukwepa kulipa haki za wafanyakazi na ujanja ujanja kwenye kulipa cooperate Tax na mengineo hapa wabanwe tu wafunguke au wakimbie hayo mambo yao wapeleke huko marekani na kwao Canada no way out

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad