WEMA Sepetu Ashtuka...Sasa Kwake Wanaume Maarufu Noo!!!


Malkia wa filamu bongo, Wema Issac Sepetu amefunguka na kuwataka mashabiki wamuombee apate mume bora atakayekuwa na heshima na wala asiwe mtu maarufu na siyo kumhusisha kila mara na uhusiano wa kimapenzi na msanii Diamond Platnumz..
.
.

Wema amefunguka hayo wakati akimjibu Shabiki katika kurasa wake wa Instagram, na kumtaka atambue Diamond ni baba wa watoto wa wili kwa sasa na ifike kipindi watu wanatakiwa wakubali kuwa hakuna kinachoendelea kati yake yeye na Diamond bali wamuombee na yeye apate mume wake ambaye siyo mtu maarufu. "Sasa baby aliokwambia namtaka Damond ni nani? Life has to go on, yule ni baba wa watoto wawili jamani. Its about time u guys accept that Me and Naseeb no more. Mnachotakiwa kuniombea ni nipate mwanaume bora na siyo bora mwanaume na mwenye heshima zake"- aliandika Wema Sepetu..
.
TOA MAONI YAKO HAPA
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaoa dust bin ya sh*haw*,tasa, champion wa mkorogo, mvuta bangi, mtaalamu wa kuvunja ndoa na mahusiano ya watu,muongo hasa kuhusu mimba feki hahaha nicheke mieee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad