Kaburi la Ivan Kufukuliwa? Police wa Interpol Waingilia Kati Kuhakikisha Alikufa Kweli

Kimenukaaa Kifo cha Ivan kina utata! Police wa InterPol wanataka kufukua kaburi la Ivan kuhakikisha kama Ivan yumo ndani..Gazeti moja la South Africa wameandika kuwa kutoka na kifo cha Ivan kuwa na utata Kitengo cha Polisi wa Kimataifa Interpol watahakikisha kwa kufukua kaburi...


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad