VIDEO: AT Adai Hatafuti Kiki Kwa Kujipendekeza Kwa Ali Kiba

Msanii wa muziki miondoko ya mduara nchini, AT amefunguka kwa kuwachana wasanii wa Tanzania kwa kudai wengi wao ni waongo, hawapendi kusema ukweli juu ya mambo yao yanayowasibu.

AT ameeleza kupitia kipindi cha eNewz kutoka EATV baada ya kuonekana kama anatafuta kiki ya wimbo wake mpya uitwao 'Melody' kwa kuzungumzia ugomvi wa kipindi kirefu baina ya msanii Alikiba na Diamond Platnumz

Mtazame hapa anavyofunguka zaidi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad