Aweka Sumu Ukeni ili Kumuua Mumewe Akizima Chumvini....

Mwanamke mmoja wa nchini Brazili amefikishwa mahakamani kufuatia jaribio lake la kumuua mumewe kwa kuweka sumu kwenye sehemu zake za siri na kisha kumtaka mumewe azamie kuziramba sehemu zake za siri kabla hawajafanya tendo la ndoa. Mume wa mwanamke mwenye umri wa miaka 43 mkazi wa mji wa Sao Jose do Rio Preto nchini Brazili aliamua kumfikisha mahakamani mkewe baada ya kunusurika jaribio la kuuliwa kwa sumu iliyowekwa kwenye sehemu za siri za mkewe.
Soma Zaidi Chini:

Taarifa zilisema kuwa mwanamke huyo ambaye jina lake limewekwa kapuni, alipakaza sumu kwenye sehemu zake za siri na kisha kumhadaa mumewe wafanye mapenzi.

Mwanamke huyo ili kukamilisha azma yake ya kumuua mumewe alimtaka mumewe azirambe rambe sehemu zake za siri kabla hawajaanza tendo la ndoa.

Lakini mumewe akiwa kwenye jaribio la kukamilisha ombi hilo la mkewe alishtuka kusikia harufu ya ajabu ikitokea kwenye sehemu za siri za mkewe.

Alikatisha zoezi hilo na kumchukua mkewe na kumpeleka hospitali ambapo madaktari walimfanyia vipimo na kugundua kuwa mkewe alijipakaza vitu vyenye sumu kali kwenye sehemu zake za siri.

Mume wa mwanamke huyo amemfungulia kesi mkewe mahakamani kufuatia jaribio lake hilo la kumuua.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Taratibu jamani mnatuharibia lugha yetu nzuri ya kiswahili muwe mnazipitia hizo habari zenu mara mbili mbili kabla ya kuzichapisha mitandaoni inakera sana kuona mtu tena anayeaminika kuwa amefudhu katika hii taaluma ya uandishi wakati akijua fika kuwa habari azichapizacho mtandaoni zinasomwa na watu mbalimbali mfano hapo juu ndugu mchapishaji wa habari hii umeandika"Akizima"ukiwa na maana ya"Akizama" vitu viwili vyenye maana mbili tofauti jirekebisheni mnazingua au ndiyo wale wale wanaomba uraia wa TZ wakifikiria kuwa wanaijua lugha ya kiswahili vizuri kumbe sivyo na kama sivyo hivyo basi muwe mnasahihisha kwanza kabla ya kuzirusha mitandaoni maana hayo makosa yenu yapo kila siku yaani huwezi kusoma habari mitandaoni bila kuona makosa kuweni makini wazaramo walisema"ZILONGWA MBALI NA ZITENDWA MBALI"Mpo hapo akina BASHITE?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad