Baada ya Kukutana na Makonda, Mtatiro Asema Hanunuliki


 "Na kesho tunaendelea na ziara, tunakutana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani na RPC wa Pwani pia. Mimi natimiza wajibu wangu na wale wanaosubiri ninunuliwe watasubiri miaka 100. Sina bei na sikuwahi kuwa na bei, na hata hao wanaonunua viongozi wa vyama vya upinzani wanajua sinunuliki na nadhani walishani DELETE kwenye vitabu vya wanunuliwaji wa siku zijazo. Watu wanaonifahamu vizuri wanajua SINA BEI! Kwa hiyo niacheni nitimize majukumu yangu." 

Hayo ni Maneno ya Mtatiro kupitia ukurasa wake wa Facebook Jana Juni 7, mara baada ya kuweka ujumbe kuwa amekutana na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Eti hana bei, Lowasa amewanunua wote isipokuwa Lipumba tu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hilo halijui anajua kununuliwa ni ccm tu.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad