BANK ya Dunia Imetaja Nchi Zilizokua Haraka Kiuchumi 2017, Tanzania Je?

Bank ya Dunia (WB) wametoa list ya nchi ambazo zinakuwa haraka kiuchumi mwaka 2017 huku nchi za Afrika na Asia zikionekana kushika kasi katika kukuza uchumi wake kutokana na kukua kwa biashara na miundombinu.

Katika list hii Ethiopia inakamata nafasi ya kwanza ambapo uchumi wake umekua kwa 8.3% huku Tanzania ikitajwa miongoni mwa nchi 10 ikikamata nafasi ya 5 uchumi wake ukikua kwa 7.2% huku uchumi wa Djibouti ukikua kwa 7% licha ya kukabiliwa na ukame mkubwa.


Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukuaji wa taratibu usioakisi maisha halisi ya mtz. Mtz anazidi kuwa maskini cku hadi cku lkn tnaambiwa uchumi unakua.Hali ya maisha mtaani na kinachozngumzwa ni vitu viwili tofauti kabsa. TUNAHITAJI MAENDLEO YA WATU NA SIYO VITU.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad