BASHE: Sitavumila Kutoka Moyoni Kuona Technical Mistake Zisizohitaji "Phd" Wala "Uprof"..!!!


payee imeshuka, kwa lugha rahisi watu wengi watanzania wengi wameondolewa kazini ndo maana payee imeshuk...

"inputs good' VAT dropped/ kodi ya ongezeko la thamani ya bidhaa malighafi imeshuka kwa lugha rahisi viwanda vimepunguza uzalishaji.... implication yake kodi ya mapato itapungua


mapato ya bandari yameshuka kwa 13%, wafanya biashara wanaotumia bandari ya dar wamepungua wakati mizigo ya wafanya biashara wa Tanzania wanaotumia bandari ya Mombasa ikiongezeka kutoka 1% asilimia hadi 2.7%

biashara mpya 200,000 ila hazina matokeo yoyote chanya katika ongezeko la kodi wakati biashara 7000 zimefungwa zikileta na matokeo hasi katika kodi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad