Chenge na Ngeleja Watajwa Kwenye Ripoti ya Pili ya Mchanga wa Madini..!!!


Ripoti ya kamati ya pili kuhusu mchanga wa madini imewaibua Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge na Mbunge wa Sengerema, Wiliam Ngeleja kuhusu mikataba ya madini iliyoingiwa miaka iliyopita.

Mbali na hao pia imewaibua marehemu Dk Abdallah Kigoda aliyekuwa Mbunge wa Handeni na Daniel Yona aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini.

Majina ya viongozi hao yameibuka leo wakati  mwenyekiti wa kamati hiyo, Profesa Nehemiah Osoro alipokuwa akiwasilisha matokeo ya ripoti yake.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndiomaana walikuwa wanafika kuzarau fedha na kusema vijisenti kufuru walizokua wakizifanya sasa zinajitokeza hukum yao kama China anaekuhujumu uchumi wa nchi ni kunyogwa tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad