Clouds kwa Uzembe Huu Mwombeni Radhi IGP Simon Sirro...!!!!

Katika hali isiyo ya kawaida,kituo cha clouds tv kimejikuta kikiwapa shida wafuatiliaji ake baada ya kuchanganya jina la IGP Saimon Sirro na mmoja ya masource wao wa habari.

Clouds Media Kupitia Clouds tv waliweka kimakosa aidha kwa bahati mbaya au kwa kutokujua cheo   IGP Sirro kwenye utambulisho wa mmoja ya watu waliokuwa wanahojiwa 


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad