Mwanasheria Aomba Mahakama Uganda Iruhusu Kaburi la Ivan Don Kufukuliwa
0Udaku SpecialJune 02, 2017
Top Post Ad
Mwanasheria Tugume Gideon ameiomba Mahakama Kuu ya Uganda iruhusu kaburi la Ivan Semwanga lifukuliwe ili watoe fedha zilizomwagwa ndani akidai kuwa ni kunyume cha Sheria