ERICK Omondi Chizi Sana...Embu Tazama Hii ya Jinsi ya Kutengeneza Movie la Kihindi

Mchekeshaji maarufu kutoka nchini Kenya, Eric Omondi ameendelea kuwavunja mbavu mashabiki wake kwa kuachia kuachia tips zake za How to be? ambapo awamu hii amekuja na kipengele cha jinsi ya kutengeneza filamu ya kihindi .Tazama hapa chini uvunje mbavu

Eric Omondi amejizolea umaarufu nchini Tanzania baada ya kufanya Cover za nyimbo za Diamond Platnumz na kuigizaji vipande vya How to be Magufuli.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad