Nani Kawashauri "Castle Lite" Kumleta Msaani Future Kutoka USA?

Musician Future

Nimeshindwa elewa kabisa Castle lite wamewaza nn kumleta msaani kama Future nchi Tz.

Sidhani kama Future ana Mashabiki wa kutosha na sina uhakika kama asilimia kubwa ya watu wanamfahamu.

Ukitaka kumleta Msanii Bongo kutoka Nchi ya USA ni vyema kuzingatia Umaarufu wa mtu Epecially kwa Wasani waliowika miaka ya 2000, pia zingatia wasanii wenye nyimbo zinazopendwa sana na Jinsia ya Kike hapa ndipo washabiki na walipa viingilio walipo ,plus wasanii ambao nyimbo nyingi zinaweza Kuchezeka: Mfano wasanii kama Rihana, Lily Wyne na Nick Minaj na Jamii kama hizo.

Ila hapa kwa Future duuh... sijui ..labda he's too cheap.


By Mandella/JF

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad