Imefichukaaa..Je Kwa Audio Hii Mh Mbowe na Wema Sepetu ni Wapenzi..? Sikiliza Hapo Chini Livee


Audio Ambayo imewekwa kwenye mtandao wa Jamii Forums Ikisikika sauti zinazosemekana kuwa ni Wema Sepetu na Freeman Mbowe Wakiongea Kimahaba Wakipanga kukutana Kwa ajili ya Dating...

Sikiliza hapa chini:



Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona ni mazungumzo ya kawaida tu jaman

    ReplyDelete
  2. this is normal cha ajabu kipi? normal kabisa wacheni ubumbavu na ujinga mbona makubwa hasa yanayotokea na ushahid upo hamuuaniki kwenye mitandao au magazetini maongezi yao ya kawaida and by the ntu akikuita baby or my loave does not mean nďio ashakuwa mpenzi wako au ukiambiwa i love you uts normal hebu kuweenu akili kutokusoma kuna kazi? ok hata tuseme ndio ni wapenzi cha ajabu kipi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama hakuna cha ajabu kwanini basi wanakanusha kwa nguvu zote, si wangekubali tu, ukiona hivyo ujue si sawa walichofanya hususan kwa mtu kama Mbowe kuwa na mahusiano na mwanamke ambaye kila mtu kampitia, kuwa na staha kwa kiongozi ni inajenga heshima yake. Halafu naona unajitahidi kujifunza kiswahili na kiingereza.

      Delete
  3. Mbona wachadema mna matatizo jamani? Katika hayo mazungumzo kwenye hii audio kuna walakini mkubwa. Darl, ilove you,bebi, please i wanna meet you can u fly to kili or what ever may be we can meet in Arusha. Sasa hao wanaosema kama hayo mazungumzo hayana mahusiano ya kimapenzi basi wakapimwe akili zao.

    ReplyDelete
  4. wewe ndio ukapimwe akili kwanza why people munaingilia personal life za watu leave them alone kusoma kunachngia kuweni kiakili you can cal anybody darling baby my love these are normal ikiwa uko close na tu yes you can wacha ushamba be civilised be with open mind thonk before you talk nonsense OMG

    ReplyDelete
  5. sasa hapo kunaneno gani baya au la mapenzi. mnapenda kumdhalilia Wema but kashazoea hana wasiwasi.

    ReplyDelete
  6. mm nnawasiwasi na makampuni ya cm ndo yanayorikodi sauzi za watu tena kwa amri ya Bashite, maana yeye nae alimtongoza Madam akakataliwa.

    ReplyDelete
  7. Hahaha! Ukitaka kupata viti maalumu chadema ni lazima ukubaliane na matakwa ya MWENYEKITI WA MAISHA.....pole kwa mwenye-mume!! Mbowe kweli ni ZOA-ZOA, kafanya juu-chini mpaka kamchomoa CCM ili awe karibu naye....duh aibu, mbona aibu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad