JE Wajua Sababu za Rais Magufuli Kumteua Mama Salma Kikwete Kuwa Mbunge? JPM Afunguka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameweka wazi sababu sababu ya kumchagua kuwa mbunge kwamba aliona atawawakilisha vizuri watu wa Lindi.


Rais Magufuli ameeleza sababu hizo Alhamisi hii wakati akizungumza wilayani Bagamoyo katika ziara yake ya siku tatu, mkoani Pwani.

“Nilimchangua mama Salma kikwete kwanza ana sifa nyingi, ya kwanza ni first lady mstaafu lakini pia yeye pia atawawakilisha vizuri watu wa Lindi lakini nilijua kwa upendo mkubwa alionao kwenye moyo wake ambapo alitoka kote Lindi njia zote hakuona mwanaume wakumuoa akaja hapa nikaona ana upendo mkubwa na nikaona nimpe ubunge kwahiyo ndugu zangu nina washukuru sana,”alisema Rais Magufuli.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magirini matupu hiyo siyo sababu ya kumteua Salma Kikwete awe mbunge utapike ukweli wenyewe halisi

    ReplyDelete
  2. Mume wske alikuteua. Fadhila hiyo.si upendeleo siyo. Si hongo fulani siyo. Ndoa, ?mmmmmmm.kinga may be.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad