Hatua ya kwanza
Download App inayoitwa parallel space kwenye play store
Hatua ya pili
Kama simu yako ni line moja basi weka line nyingine ambayo unataka iwe whatsapp yako ya pili
Hatua ya tatu.
Install application uliyo download kwenye Step 1(parallel space )., kisha ifungue.
Hatua ya nne
Utakapofika kwenye kipengele kinachotaka kuweka number ya simu hapo utaweka namba yako ya pili ili uweze kuwa na whatsapp mbili
Hatua ya tano.
Utaendelea na Steps za kawaida kama ulivyojiunga na whatsapp ya kwanza.
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka na kuanza kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja.
Siyo kweli ni mizinguo tu wala haina haja kujaribu ku-download hiyo app ni kharaa tupu
ReplyDelete