Web

Hatimaye JWTZ Yaingia Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga Kudhibiti na Kutafuta Wauaji wa Polisi na Raia..

Top Post Ad

kikosi cha JWTZ

Hatimaye Serikali imepeleka kikosi cha JWTZ huko Pwani kudhibiti mauaji na kutafuta wauaji.

Kikosi hicho cha JWTZ kina wana jeshi wenye uzoefu mkubwa wa kivita na makomandoo kiasi.

Lengo kuu ni kuleta amani mkoa wa Pwani ktk maeneo hayo ambayo usalama wake umekuwa wa mashaka.

Below Post Ad

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JWTZ wangeingia huko kimya-kimya, wakawashtukiza, hao jamaa ni magaidi!

    ReplyDelete