Kampuni ya ACACIA Ipo Katika Mkakati wa Kupunguza Wafanyakazi 400..!!!


Kampuni ya Acacia iliyoenda kinyume na Makubaliano kuhusu mchanga wa Madini ipo kwenye mkakati wa kupunguza wafanyakazi hasa kwenye sekta ya ulinzi. Inadaiwa watu 400 wataondolewa.

Chanzo: The Citizens Tanzania
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad